Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nchi ina viongozi wa hovyo sana..

Unalosema linaweza kutokea pia,, nchi hii haieleweki kabisa siku hizi..

Ndugai amejiuzulu bila kufanya kosa lolote,,,coz alichosema wala sikuona kama ni kosa

Kwa hivyo amejiuzulu bila kosa lolote. Umeisikia hotuba yote ya Ndugai akiomba msamaha?. Amekiri kakosa wewe unasema hana kosa lolote. All in all muda wa Ndugai umekwisha aje mwingine.
 
Kuna mtu anaitwa Balozi Emmanuel Nchimbi. Sitoshangaa akipewa!
 
Katiba inasema speaker lazima awe mbunge,sasa mbona umewaweka wasio wabunge kwenye orodha yako?
 
Mnamdanganya eti
Waswahili wanafiki sana na maslahi kwa matumbo yao
Tumeona wangapi wakipoteza hela zao kwa maneno matamu Ooh we nenda kashone suti unapita asubuhi saa nne [emoji23][emoji23]

Ooh kwa wewe yaani hakuna mpinzani
Ingia sasa unaanza kutafutwa na Bank kwa madeni halafu jamaa wanachekea chooni [emoji23][emoji23]
 
Tulia ni sukuma gang pure! Hafai kabisa na ninamwombea ajiuzuru unaibu spika Ili aruhusiwe kugombea uspika halafu ccm wampige chini huko kamati kuu akirudi anakuta unaibu spika wamejaza mtu ,hapo sukuma gang wanazidi kupukutika ,na tunaamza na kamati za BUNGE Zina wenyeviti wa sukuma gang watupu huko.
Mi naona uspika apewe Riziwan kwanza mi msomi mwanasheria sina shaka nae.
 
Endeleeni kuwatafutia wenzenu ugali

Ova
 
Back
Top Bottom