Hiyo style ni sahihi haswa itapunguza cost ya hizi chaguzi za sitaki nataka.CCM mmechoka mbaya,kila kitu ni michongo,magumashi inayoleta mikazo kwa wananchi.Ndungai usikubali vijembe vya kimakunduchi,rudi kwa staili ya Lipumba,wazalendo tuko pamoja na wewe.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huenda asiwe miongoni mwa hao kabisaNdugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Fact !!! Njaa mbaya sana. Inapelekea watu kutojiamini na kukosa uhuru wa mawazo/maoni.Kwa kilichotokea hakuna atakae kuwa na ujasiri 2a kuhoji tena .....99% ya wabunge na wanakijani wamefyata mkia...
Ila mwendazake masalia kweli mna roho ya paka!!yaani hamtaki tu kukubali sasa zamu yenu imekwisha!!mwambieni pole pole/bashiru achukukue fomu ya u spika!!, si mnasema mnanguvu sana, ili adumishe fikra za meko na ndugai
Labda Kwa hiki chamaNdugai for presidency 2025!
TUNAMTAKA DR.MSUKUMANdugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Kwa hivyo amejiuzulu bila kosa lolote. Umeisikia hotuba yote ya Ndugai akiomba msamaha?. Amekiri kakosa wewe unasema hana kosa lolote. All in all muda wa Ndugai umekwisha aje mwingine.
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
kwani watanzania wote ni wajumbe wa uchaguzi wa spika?Unadhani watanzania wote tunavuta bangi?
Wao what an idea!Hichi chama na kiwe basi tuoneLabda Kwa hiki chamaView attachment 2072337
Ahahaha,kmmmmae, sukuma gang mnatapatapa, simlisema ndugai hawezi kujiuzulu,Sasa saizi mnasema atachukua fomu, kwaiyo akishachukua fomu ndio tayari kawa spika!???Job Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT
Mlimchukulia poa Samia, kamtia adabu mgogo wenuHatukubali uhuni wa kikojani, lazima kieleweke
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Badamu batachuruzika walahiJob Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT
unawajua watu wa kongwa lkn au unasema tu?Hata akigombea pale kongwa watamtosa🤸.
Mama ndiyo yupo hoi sasa hivi kitandaniKabla hajachukua hiyo form atakuwa hoi kitandani, mangula cha mtoto