Hiyo style ni sahihi haswa itapunguza cost ya hizi chaguzi za sitaki nataka.CCM mmechoka mbaya,kila kitu ni michongo,magumashi inayoleta mikazo kwa wananchi.Ndungai usikubali vijembe vya kimakunduchi,rudi kwa staili ya Lipumba,wazalendo tuko pamoja na wewe.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unajiuzulu nafasi halafu muda huo huo unatamani kuigombea na ukiipata huna jipya,wapisheni na wengine.Hauwezi kimbia rellay ukajipokeza kijiti mwenyewe.Kwa uongozi gani mliouonyesha since 1961?Tanzania ime stuck na sasa mwatuambia mnada unanukia-Ukiwadia tunaanza kuiuza ccm na makorokoro yake kwanza.