Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Kaambiwa hakuandika Ile barua vizuri (kisheria) hivyo abaki kwanza kwenye kiti.
 
Naona unampenda Dr Mwakyembe!!!?
 
Namba sita na kumi itapendeza sana !!
 
Mama mwenyewe agombee tu awe kote
 
Kwa sasa Ni Tulia Ackson au Mwakyembe kama Tulia hataki
 
Za chini ya kapeti zinaonesha kuwa kuna kundi la watu wa Kitengo wamemtafuta mpaka kumpata na tayari ameshajuzwa kuwa kuna Baraka zote yeye agombee Uspika amalizie awamu hii ili aje kumwachia Tulia. Inasemekana kuwa hao watu wa Kitengo wametonywa wazo hilo na Tulia mwenyewe baada ya yeye kuwaeleza bado anatafuta uzoefu zaidi na kusema ambaye anaweza kumwachia uzoefu huo ni Msomi Wakili mwenzake Mzee Chenge! Period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…