ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Nilimaanisha kuwa uwezekano wa upinzani kushinda nafasi hiyo kwenye bunge la 98% ccm ni sawa na Marekani kuomba mkopo wa fedha Tanzania.Kwani nafasi ya spika ni ya ccm tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimaanisha kuwa uwezekano wa upinzani kushinda nafasi hiyo kwenye bunge la 98% ccm ni sawa na Marekani kuomba mkopo wa fedha Tanzania.Kwani nafasi ya spika ni ya ccm tu?
Naona unampenda Dr Mwakyembe!!!?Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Namba sita na kumi itapendeza sana !!Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Exactly, huyu mzee nafasi hiyo inamfaa sana.Wampe Mzee Chenge, yupo Smart na anajiamini! Hawa watu njaa njaa rahisi sana kuimba mapambio kwenye ujinga
Mama mwenyewe agombee tu awe koteNdugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Bashiru Mchawi yuleHamad Rahid Muhammed alihamiaga CCM?
Spika awe Dr Bashiru Ali Kakurwa
Na akiwa muislam itakuwa ni issue lakini zaidi ya miaka 25 yote waliopita hawakuwa waislam na haikuwa issue. Kuna kirusi kibaya sana cha udini tunakilea na huenda kikaipasua nchi mbeleni japo tunadhani ni sifa.Lazima awe muslim
Kwa sasa Ni Tulia Ackson au Mwakyembe kama Tulia hatakiNdugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Sasa bila Uchaguzi nani ataziba nafasi ya jamaa yetu Job? Chaguzi ndiyo maisha yetu bwamkuu!Ila CCM mnachekesha sana, akili zenu sikuzote zinawaza chaguzi tu
Watu wa Kitengo wakikifuata huwa hawakosei!huyo kshakosa maana tayari mmeshamtaja mtakuja kusema mlitabiri na imekuwa