Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Inaonekana CCM wanataka kufanya kitu tofauti kidogo na utamaduni. Wanataka kwenda na Mdee muda huu. makao makuu hapa jina ni moja tu vinywani mwa vigogo nalo ni HALIMA MDEE
Kwako hii ni habari?
 
Ww ni mwakyembe nn mbona unarudia rudia jina lako ? Kama ni ww wala haufai
 
Mm binafsi sioni tatizo hapo yeye kwa mtazamo wake ameona rais hayupo sawa juu ya mkopo huo lkn sas ilikuaje hapo nyuma aliruhusu kupitisha bajeti hiyo angali alijua kuwa kutokana na bajeti hiyo ni mkopo kwa nin asinge kataa mapema kuliko kusubilia bajeti imepita
 
Inaonekana CCM wanataka kufanya kitu tofauti kidogo na utamaduni. Wanataka kwenda na Mdee muda huu. makao makuu hapa jina ni moja tu vinywani mwa vigogo nalo ni HALIMA MDEE

Kwa Tiketi Ya Chama Gani[emoji15]
 
aliyetuma Mdee ashikwe mkono alifariki,aliyeshika Mdee mkoo ameniuzuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…