Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Inaonekana CCM wanataka kufanya kitu tofauti kidogo na utamaduni. Wanataka kwenda na Mdee muda huu. makao makuu hapa jina ni moja tu vinywani mwa vigogo nalo ni HALIMA MDEE
Kwako hii ni habari?
 
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.

1. Tulia Ackson

2. Andrew John Chenge

3. Abdurahman Omari Kinana

4. Mussa Azan Zungu

5. Hamad Rashid Mohamed

6. Dr Harrison Mwakyembe

7. Jenister Joachim Mhagama

8. David Mwakiposa Kihenzile

9. Stephen Masatu Wassira

10. Dr Harrison Mwakyembe
Ww ni mwakyembe nn mbona unarudia rudia jina lako ? Kama ni ww wala haufai
 
Mm binafsi sioni tatizo hapo yeye kwa mtazamo wake ameona rais hayupo sawa juu ya mkopo huo lkn sas ilikuaje hapo nyuma aliruhusu kupitisha bajeti hiyo angali alijua kuwa kutokana na bajeti hiyo ni mkopo kwa nin asinge kataa mapema kuliko kusubilia bajeti imepita
 
Inaonekana CCM wanataka kufanya kitu tofauti kidogo na utamaduni. Wanataka kwenda na Mdee muda huu. makao makuu hapa jina ni moja tu vinywani mwa vigogo nalo ni HALIMA MDEE

Kwa Tiketi Ya Chama Gani[emoji15]
 
Back
Top Bottom