Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mbona 6,10 umerudia jinaa?!
 
Dr msukuma.
 
Anahitajika mtu asieyumbushwa na mwenye kusimamia anachokiamini ili bunge liweze kuisimamia GOV ipasavyo.
Kwa kilichotokea hakuna atakae kuwa na ujasiri 2a kuhoji tena .....99% ya wabunge na wanakijani wamefyata mkia...
 
Job Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT
Ila mwendazake masalia kweli mna roho ya paka!!yaani hamtaki tu kukubali sasa zamu yenu imekwisha!!mwambieni pole pole/bashiru achukukue fomu ya u spika!!, si mnasema mnanguvu sana, ili adumishe fikra za meko na ndugai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…