Dadiz
Member
- Jun 30, 2018
- 20
- 8
Kama Mama aliona shida kubwa ya Ndugai ni race ya 2025, basi itakua hivyo pia kwa kiongozi yoyote wa muhimili kutoka kwenye Generation ya kina Ndugai, kulewa kiti na kuanza kuuwazia uRais 2025....Damu changa inahitajika kuongoza mhimili huu kwa sasa hivyo kwangu ni:
1. David Kihenzile - ni Mwenyekiti wa Bunge wa sasa pekee kijana, energetic , very smart upstairs na mtulivu sana na hana papara. Atasaidia kuzalisha mhimili wenye maisha mapya.
2. Steven Masele - Kijana mwenye exposure nzuri ya Bunge East Africa, brilliant indeed, mtulivu na hana papara. He can help run the seat well.
3. Andrew Chenge - He is out of race, na hatokua na ligi za kijinga za kisiasa, atasaidia tu kusogeza muda bunge liende salama na kuleta utulivu.
4. Dr. Emmanuel Nchimbi - Man of Good politics, ili bunge lisiwe na matabaka anaweza saidia kurudisha umoja wa mhimili, japo atafanya siasa zake zaidi za uRais kuliko uspika atakaopata.