Shem nilikaa kimya muda mrefu nikimtafakari huyu mume wangu Filipo ila nasikitika nimeshindwa kufanya maamuzi mazito... Mapenzi niliyonayo kwake badala ya kupungua yanaongezeka tu..... Sijui aliniloga kule Tanga?
Kwan wote tupo bongo??Superstar Bongo????
Bado nayapitia..naona kampeni zinaendeleanaomba summary ya majina yaliyotajwa.
Copy: Deejay nasmile
Usijisahau na ww mwenyew
Duh... Mimi ni underground kama Jeru The DamajaUsijisahau na ww mwenyew
Mimi nafaa kuliko woteJamani eti ni member gani hapa JF ni maarufu sana ukiondoa hao ma mods akina invisible? kujitaja haipo
Tupe sababu kwanini tukuchague wwMimi nafaa kuliko wote
Unaposema zama hizi una maanisha nn...Superiority Complex of human being.Yaani unakaa unawaza kuwa au kuona Nani bora kuliko nani Zama hizi.Mambo haya ndo yaliwafanya KAINI akamuua ABELI.
miimi hapa yaani bila chenga nafaa kuwa supastaaJamani eti ni member gani hapa JF ni maarufu sana ukiondoa hao ma mods akina invisible? kujitaja haipo