Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,341
- 5,543
Shem nilikaa kimya muda mrefu nikimtafakari huyu mume wangu Filipo ila nasikitika nimeshindwa kufanya maamuzi mazito... Mapenzi niliyonayo kwake badala ya kupungua yanaongezeka tu..... Sijui aliniloga kule Tanga?
Ndio maana nakupenda mpz! You're the best wife ever!!!?