Nani anafaa kuwa Supastaa wa JF?

Nani anafaa kuwa Supastaa wa JF?

Shem nilikaa kimya muda mrefu nikimtafakari huyu mume wangu Filipo ila nasikitika nimeshindwa kufanya maamuzi mazito... Mapenzi niliyonayo kwake badala ya kupungua yanaongezeka tu..... Sijui aliniloga kule Tanga?

Ndio maana nakupenda mpz! You're the best wife ever!!!?
 
Superiority Complex of human being.Yaani unakaa unawaza kuwa au kuona Nani bora kuliko nani Zama hizi.Mambo haya ndo yaliwafanya KAINI akamuua ABELI.
 
Superiority Complex of human being.Yaani unakaa unawaza kuwa au kuona Nani bora kuliko nani Zama hizi.Mambo haya ndo yaliwafanya KAINI akamuua ABELI.
Unaposema zama hizi una maanisha nn...

Jiulize kwanini kuna UCHAGUZI wa viingozi/watu mbalimbali kuhusu mambo flan flan
 
Back
Top Bottom