Nani anafahamu matumbo ya mbuzi Wachina wanayafanyia nini?

Nani anafahamu matumbo ya mbuzi Wachina wanayafanyia nini?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda!

Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi?

Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
 
Hahaaaaaa. Ila wachina noma, mpaka pembe za ng'ombe wanachukua. Zimekuwa Mali kwa sasa
 
Back
Top Bottom