Nani anafahamu matumbo ya mbuzi Wachina wanayafanyia nini?

Nani anafahamu matumbo ya mbuzi Wachina wanayafanyia nini?

Tukuulize, wewe unatafuta matumbo ya mbuzi ya nini? Tafuta hela usijisumbue na matumbo pia kumbuka usichokijua hakikuhusu. YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE..!!
Mkuu umeongelea vitu vingi lakini hakuna hata cha maaana,yaani unashauri kuwa jambo tusilolijua halituhusu na tusipoteze muda Wa kushughulika nalo? Kwenye dunia ya sasa kuna mambo mengi sana ambayo yanaibuka na hatuyajui hivyo kuna haja ya kuhangaika nayo
 
Mbezi beach ukiwakuta ufukweni wavuvi wakiwa wamerud, wao hata hawanaga habari na samaki, wao utawaona wakiokoteza mikonokono, crabs na wadudu wengine wanaotupwa na wavuvi.
 
Ndo chakula chako pendwa
Wanakula tuuu amna zaidi nmekaa nao kipindi fulani
 
Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda!

Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi?

Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
Wanakula huwa wanakata kata vipande vya udefu wa 1ft wanashindilia vinyamanyama vya wanyama wengine na wadudu wanakaanga wanakafakata kama biskuts ndo sanakula
 
kwani wewe unayanunua kwa matumiza yapi hayohayo matumizi yako ndio na wao wanafanya hivyo
 
Mabondo ya sato ni nini?

Back
Top Bottom