Nani anafahamu matumbo ya mbuzi Wachina wanayafanyia nini?

Nina wasiwasi watakuwa wanasafirisha kwao kwa ajili ya kutengeneza '山羊肚' (shanyangdu) snacks...

Wachina hizi nyama nyama huwa wanazikausha, wanaongeza flavors na kutengeneza snacks na kuzipack kwenye mifuko au cans kama pipi tu vile...
 
Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda!

Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi?

Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
Wanaenda kula, kumbuka wananunua zaidi tumbo dogo(kitabu), hii ndiyo most nutritious portion. Ni biashra kubwa toka zamani, hata masoko makubwa kama alibaba na amazoni wanauza salted dry
 
Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda!

Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi?

Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
Tukuulize, wewe unatafuta matumbo ya mbuzi ya nini? Tafuta hela usijisumbue na matumbo pia kumbuka usichokijua hakikuhusu. YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE..!!
 
Wanakausha wanasafirisha kwenda kutengeneza nyuzi za kushonea wakati wa oparesheni zile zisizotolewa.
Majibu ni mengi ajabu!

kimataifa matumbo (aina hiyo ya taulo) siyo ya mbuzi pekee, hata ya ng'ombe pia, yanagombewa kama mpira wa kona karibu machinjio zote.

Ukiuliza matumizi, wanasema wanakausha na kuandaliwa chakula cha mbwa wa wenyenazo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana kamgahawa kao huku mikocheni hawa jamaa wanakula vimbwa hatari,imefika hatua mbwa wamepotea mtaani na bei elekezi ya mbwa sokol la Victoria limepaa sana
 
Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda!

Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi?

Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
Wengi wamejibu,ila kwenye wanyama hawa walao nyasi haswa ng'ombe,mbuzi na kondoo wa kufugwa nyumban,ktk matumbo yao huwa kunakuwa na kitu Cha uduara (kama kinyesi au nyasi)nimewahi sikia Ni mara chache kukipata kwa hao wanyama tajwa juu ,huwa kinakuwa na kemikal au Ni aina ya dini la thamani ,hivo yu mkini wanakitafuta kwa kuweka oda ya matumbo mengi ya mbuzi.
 
Okay
 
Sio matumbo yote ni ule utumbo unaoitwa KITABU, huwa wanakula mbichi hivyo hivyo. Wanachovya tu kwenye pilipili.

Ulafi wao ndio maana wanatuletea magonjwa ya ajabu.
Kule Dodoma wanakaribia kumaliza punda.
Mkuu km tulipeleka watu DOM! Tutoe Punda DOM waje DAR

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom