Umechelewa. Hivi huwa mnaioendea Nini?
Hata wao hawajuiHukuwauliza hao wanao wauzia mkuu..!?
Basi itakuwa wanatengezea "soseji"Hata wao hawajui
Hili nalo neno! Kwahiyo ndo yawe ya mbuzi tu, wanyama wengine vipiBasi itakuwa wanatengezea "soseji"
Sweta gani tena!!Unamaanisha yale matumbo kama sweta au taulo?
Nijuavyo nyama ya mbuzi na hata utumbo wake sio ngumu kama wanyama wengine,.hivyo ni rahisi kuandaa na ni tam pia.. 😊Hili nalo neno! Kwahiyo ndo yawe ya mbuzi tu, wanyama wengine vipi
Ooh hilo nalo jamboNasikia wanatengenezea mabegi ya watoto.
Nijuavyo nyama ya mbuzi na hata utumbo wake sio ngumu kama wanyama wengine,.hivyo ni rahisi kuandaa na ni tam pia.. [emoji4]
DuhWachina ni ulafi unawasumbua.
Yakiwa hivohivo au kuna dawa wanatiaYanaongeza nguvu za kiume.