Elisha Sarikiel
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 905
- 1,540
Sikuwa namfahamu huyu mtu. Ila kwa nilivyoziona kampeni za Lissu ni dhahiri huyu jamaa ndo mrithi wa Kanali Abdulahaman Kinana kama Meneja Kampeni Bora zaidi kwa Siasa za Tanzania.Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa....
Kwa akili yako fupi huwezi kumuelewa na hutomuelewa Tundu Antiphas Lissu akili kubwa"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" 😂🤣😂🤣
Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
Ni Beberu jeusi.Ni kijana mmoja smart sana
Hajawahi kuwa CCM labda kabla ila siyo 2010Halikatwa kwenye kura za maoni Ccm 2010 ubunge.
Nimfahamuvyo kwa taaluma alisomea shahada ya kwanza ya uhasibu, alifanya kazi muda mrefu kwenye NGOs kabla ya kuingia mazima kwenye siasa akiwa kiongozi mwandamizi wa mkoa wa Arusha na baadaye Kanda ya Kaskazini. Ni Mchungaji wa Anglicana na namfahamu kama mwenyeji wa SingidaPichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa...
0712702602
Hapo kwenye mzanzibar hapo awali huku mushi umeniacha PembaPichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa...
Kuna jambo gani la ziada analolifanya ?Sikuwa namfahamu huyu mtu. Ila kwa nilivyoziona kampeni za Lissu ni dhahiri huyu jamaa ndo mrithi wa Kanali Abdulahaman Kinana kama Meneja Kampeni Bora zaidi kwa Siasa za Tanzania.
Halikatwa maana yake nini ?Halikatwa kwenye kura za maoni Ccm 2010 ubunge.
Huyu ni Chali wa ARusha,Mtoto wa Peter Golugwa (Nafikiri ) Amekulia Arusha Maeneo ya OLmatejoo,Amefanya kazi katika kampuni mbalimbali.Baba yake ni Mchungaji katika Kanisa la PEFA (Sina hakika). Binafsi nafikiri ana utulivu wa kiakili wa kuweza kusimamia kampeni ya Tundu Lissu.Mungu ampe Nguvu.Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa...
0712702602