Uchaguzi 2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa....
"Si MNAYATAKA TUKIN'GOLEWA TUKIENGULIWA TUTAINGIA BARABARANI"

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)

Mpka sasa wameshaenguliwa 500 🤣😂🤣😂 Hakuna hata iliengia Service Road wacha Barabarani
 
Huyu ni Chali wa ARusha,Mtoto wa Peter Golugwa (Nafikiri ) Amekulia Arusha Maeneo ya OLmatejoo,Amefanya kazi katika kampuni mbalimbali.Baba yake ni Mchungaji katika Kanisa la PEFA (Sina hakika).Binafsi nafikiri ana utulivu wa kiakili wa kuweza kusimamia kampeni ya Tundu Lissu.Mungu ampe Nguvu.

Nafikiri........sina uhakika.........nafikiri.......sina uhakika
 
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa....
Nilijua ni mimi peke yangu natamani kumfahamu huyu ndugu
 
Nimfahamuvyo kwa taaluma alisomea shahada ya kwanza ya uhasibu, alifanya kazi muda mrefu kwenye NGOs kabla ya kuingia mazima kwenye siasa akiwa kiongozi mwandamizi wa mkoa wa Arusha na baadaye Kanda ya Kaskazini. Ni Mchungaji wa Anglicana na namfahamu kama mwenyeji wa Singida
Mkuu ungeendelea kidogo
 
Mnyisanzu
 
Back
Top Bottom