Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS aliyeiva ni mzalendo na huangalia maslahi mapana ya nchi kwa kutenda hakianaonekana kaiva kwenye judo & taikondo
Lissu anaonekana kumuamini sana lakini unaweza kuta jamaa nae ni TISS
Unafurahia kama vile umezamushiwa kidole cha kati kwenye...."Si MNAYATAKA TUKIN'GOLEWA TUKIENGULIWA TUTAINGIA BARABARANI"
Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
Mpka sasa wameshaenguliwa 500 [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hakuna hata iliengia Service Road wacha Barabarani
Hapo unamzingua BinamuHuyu na Alphonce Mawazo walijiuzulu udiwani jimbo la Arusha wakiwa CCM kisha wakahamia CHADEMA na hawakurudi tena kugombea udiwani. Yeye na Mawazo ni mapacha kisiasa.
Sio kulinda kura,tutabaki ili watutangazie matokeo hapo hapo.
Kwani wao matokeo wanataka tuyapate kwa namna gani? Watatuma kwa posta?
Tumekuja kupiga kura tutabaki watupe matokeo yetu,kisha tutaondoka zetu.
Kwani wao hofu ya nini sisi wapiga kura tukiamua kusubiria wajumlishe na kutujuza.
Kupiga kura watuhamisishe tufike,kupata matokeo watukataze..wasilete ulofa wao.
Tutapiga kura na kungoja watupe matokeo ya hizo kura zetu.
Amani Golugwa yupo kwenye siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka kumi sasa.Huyu jamaa yuko vizuri sana najiuliza Lissu kamuopoa wapi. Asante kwa taarifa
well Noted MkuuAmani Golugwa yupo kwenye siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Ni bahati mbaya waliowengi hawajui underground movements za Chadema zinafanywa na watu gani, na ni smart kiasi gani.
Chadema ni chama Chenye watu wengi ambao ni underground politicians ambao ni very smart sema wengi hawana muda na media kwajili ya uteuzi kama ccm.
Nani amewahi kujiuliza kukua na kuimarika kwa CHADEMA Nyanda za juu kusini nyuma yake kuna nani ?
Huku kuna vijana smart tena smart kuliko hata kina Bashiru Ally lakini wanafanya kazi katika hali ngumu ya kisiasa but wanaendelea kuexcell.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hajafika 45.Duuu, huyo jamaa ni kijana?!
Nakubaliana na wewe. Kama chadema haijafa kipindi hiki cha Jpm basi haitokaa ikufe tena.Amani Golugwa yupo kwenye siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Ni bahati mbaya waliowengi hawajui underground movements za Chadema zinafanywa na watu gani, na ni smart kiasi gani.
Chadema ni chama Chenye watu wengi ambao ni underground politicians ambao ni very smart sema wengi hawana muda na media kwajili ya uteuzi kama ccm.
Nani amewahi kujiuliza kukua na kuimarika kwa CHADEMA Nyanda za juu kusini nyuma yake kuna nani ?
Huku kuna vijana smart tena smart kuliko hata kina Bashiru Ally lakini wanafanya kazi katika hali ngumu ya kisiasa but wanaendelea kuexcell.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Age group ya wanasiasa wa CHADEMA ni 20 upto 40 yearsNakubaliana na wewe. Kama chadema haijafa kipindi hiki cha Jpm basi haitokaa ikufe tena.
Possibiloty ni ACT kuungana kikatiba na Chadema. Tumeona nguvu ya umoja ni kubwa na hakika italeta matokea makubwa sana.Age group ya wanasiasa wa CHADEMA ni 20 upto 40 years
Hawa ni watu ambao wapo kwenye siasa kwa zaidi ya miaka 40 hata 50 ijayo.
Kwahiyo kufa haitawezekana hata siku moja na kuna dalili ACT WAZALENDO kisikue tena hakina mwelekeo mzuri labda ngoja tuone uchaguzi huu kitatoka vipi.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Utamwachia fisi bucha?NEC wanasema kazi ya kulinda kura sio ya mpiga kura, wewe unasemaje ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chequevala International Airport?Atakua CIA....
Sasa Kama wanafanya Ngorongoro Huyo kibarakaaa anapiga kelele za niniNgorongoro kwa Sasa wanafanyaje?na inapo semwe hifadhi haimaanishi hifadhi unazo zijua wewe,mfano hifadhi ya mlima Kilimanjaro ina wanyama gani?
Yaani CCM imemshika lisu kalio zote mbili, sasa asubili 28.10.2020 lazima ajambishwe hahahaTundu Lissu amewashika pabaya
Mkuu umenifanya nichekee kwa sauti kubwa."Si MNAYATAKA TUKIN'GOLEWA TUKIENGULIWA TUTAINGIA BARABARANI"
Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
Mpka sasa wameshaenguliwa 500 [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hakuna hata iliengia Service Road wacha Barabarani