Elisha Sarikiel
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 905
- 1,540
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Remember we have no fazaz/brazaz and no directions.
Hakika.Mbona mmeshindwa kumtafutia kura Lissu kama kweli mko smart kiivo.Lissu atapata kura kidogo sana, Lipumba anaonekana ndiyo atachuana na magufu li japo kwa mbali.Chadema mnashida yaani hadi Lipumba kawazidi.
ha ha haaaaa. kwa kichekesho kingine kama hiki, tupige namba gani? Eti Chadema imeimarika nyanda za juu kusini. Ha ha ha ha haaaaaasAmani Golugwa yupo kwenye siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Ni bahati mbaya waliowengi hawajui underground movements za Chadema zinafanywa na watu gani, na ni smart kiasi gani.
Chadema ni chama Chenye watu wengi ambao ni underground politicians ambao ni very smart sema wengi hawana muda na media kwajili ya uteuzi kama ccm.
Nani amewahi kujiuliza kukua na kuimarika kwa CHADEMA Nyanda za juu kusini nyuma yake kuna nani ?
Huku kuna vijana smart tena smart kuliko hata kina Bashiru Ally lakini wanafanya kazi katika hali ngumu ya kisiasa but wanaendelea kuexcell.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Faza fasa who youRemember we have no fazaz/brazaz and no directions.
Wajichekesha tU kama Binti bikra na kwa akili zako matope Huwezi kumwelewa Lissu,"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" 😂🤣😂🤣
Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
Cheki Huyu mental case, unajichekesha nini sasaha ha haaaaa. kwa kichekesho kingine kama hiki, tupige namba gani? Eti Chadema imeimarika nyanda za juu kusini. Ha ha ha ha haaaaaas
Ilitakiwa tukuache pale Oysterbay police station uonje makofi ya police walau kidogo 2015.ha ha haaaaa. kwa kichekesho kingine kama hiki, tupige namba gani? Eti Chadema imeimarika nyanda za juu kusini. Ha ha ha ha haaaaaas
"I'm trying to be a man & a half but i can"t reach him".Lissu ni mwanaume na nusu
Mtu yoyote ukimeinua ni rahisi sana kuona udhaifu wake hivyo kushuka thamani.Aisee Amani golugwa hiki kichwa ni machine ya hatari sana, very organized. Licha ya mazingira magumu ya kisiasa pamoja na ufinyu wa resources ila bado kaweza kucoordinate kampeni za Mhe. lissu kuwa za kisasa na zinazoendana na wakati.
I wish this time anafaa sana kuja kuwa katibu mkuu wa chama au nafasi yeyote ya juu ya chama
Asante kwa kazi nzuri na kamwe usirudi nyumaWakati vijana wapo kwenye operation Chadema ni msingi; kuna watu walidhani kua Chama kimebanwa hivyo amna mikakati inayoendeleo. Kuna watu walikua nyuma ya viongozi waliteuliwa kueneza Chadema ni msingi bila wao kujua japo uongozi wa juu pia kwa baadhi yao hawakujua hao watu.
Leo watu wanajiuliza wanachi wanaoudhuria kwenye mikutano ya Chadema wanapata taarifa kutoka wapi?
Mimi itoshe kusema kua nimeshiriki nyuma ya watu waliokua wanaeneza Chadema ni msingi kwa maeneo ya Kondoa...Serengeti...Sinyanga bila wao kujua. Japo taarifa zetu pia haifiki kwa walio wengi.
Chadema haitakuja kufa kwasababu ilishakua chama kikubwa tayari.
Jitahidi hata mumfikie kidogo jamani"I'm trying to be a man & a half but i can"t reach him".
Ni kijana mmoja smart sana
Sio kweli wala hajawahi kuwa ccmAlikatwa kwenye kura za maoni CCM 2010 ubunge.
Hilo ndio swali la msingi
Jibu la msingi ni wewe na mimi kuhakikisha tunazilinda kura zetuHilo ndio swali la msingi