Nani anafaidika na ndoa?

Yani laiti kama tungeamua kuorodhesha humu mitandaoni wanayopitia wanawake kwenye ndoa zao, basi hakika tungejaza servers za jf, ni vile tu wanawake wengi sasa hivi wamechagua kukaa kimya na kuwaacha wanaume waongee wanavoweza
 
Anafaidika yule ambaye hazalishi zaidi... maana anaingia kwenye ndoa tayari akiona afuheni anayoenda kuipata
 
Yani laiti kama tungeamua kuorodhesha humu mitandaoni wanayopitia wanawake kwenye ndoa zao, basi hakika tungejaza servers za jf, ni vile tu wanawake wengi sasa hivi wamechagua kukaa kimya na kuwaacha wanaume waongee wanavoweza
Wanaume atuteseki et?
 
Hii haiwezi kumpata mwanaume aliyemheshimu na kumpenda mke wa ujana wake na wanae kama ipasavyo. Ukiona hivi ujue huyu baba kuna mahali aliifanyia familia yake mambo meusi.

Wanaume wengi wanapoingia kwenye ndoa wanaanza kutesa wake zao kwa michepuko kila kona na ubabe na falsafa yao ya "mwanaume rijali hatosheki na mwanamke mmoja" Watoto wanakuwa wanaona mapito ya mama yao. Mke naye mapenzi yanaisha anabaki pale kwa ajili ya watoto. Watoto wanakua watu wazima sasa mama abaki na baba mtesaji ili iwe nini? Na wakati mama na wanae wanajua wewe sio family man tangu zamani!

Hii ni kwa wote mnaowapitisha wake zenu kwenye mapito. Endeleeni kunywa mtori nyama ziko chini
 
Kwahyo wewe mama yako akija kwako utamtimua na kumrudisha kwa mume wake?
Jinga kubwa wewe! Sasa unataka kuishi na mke wa mtu na mumewe yupo?

Kwa nini kama unampenda sana huyo mke wa mtu usimchukuwe na mume wake?
 
Yani laiti kama tungeamua kuorodhesha humu mitandaoni wanayopitia wanawake kwenye ndoa zao, basi hakika tungejaza servers za jf, ni vile tu wanawake wengi sasa hivi wamechagua kukaa kimya na kuwaacha wanaume waongee wanavoweza
Umenikumbusha family moja hivi. Mke na mume walikuwa na watoto watatu. Wakike wawili na wakiume mmoja. Watoto walisoma na wakike wakaolewa. Siku ambayo wa kiume kamaliza Chuo na kupata kazi Mama alimwambia mume wake "Kazi iliyokuwa inanifanya niendelee kukaa hapa, nimeimaliza. Naondoka" Yule bwana hakuamini na watu waliokuwa wanaifahamu ile familia hawakuamini. Wanawake wanapitia mambo magumu sana kwenye ndoa.
 
1.Kunya mtoto sio jambo dogo
2.Mtoto hawezi kusingiziwa mama
 
Njia nzuri kuwa na wanawake wawili na kujiwekea vitega uchumi ukiwa na pesa za kubadilishia mboga hauwezi kuwa mpweke na mabinti walivyojaa mjini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…