Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani na wanaume wanapooa ili wafanyiwe kazi za nyumbani hiyo siyo afuenianafaidika yule ambaye hazalishi zaidi... maana anaingia kwenye ndoa tayari akiona afuheni anayoenda kuipata
Wanaume atuteseki et?Yani laiti kama tungeamua kuorodhesha humu mitandaoni wanayopitia wanawake kwenye ndoa zao, basi hakika tungejaza servers za jf, ni vile tu wanawake wengi sasa hivi wamechagua kukaa kimya na kuwaacha wanaume waongee wanavoweza
Unashauri nini mtibeli vijana tusioe?Kuna Watu bado hawanielewi mpaka wawe kama huyo Mzee hapo
Vijana hawataki tu kuoa, ndiomaana minasemaga basi waolewe wao...🤨Mnayakuza mno na nyie
Wafanyeje mkuu, maana wengine wapo kwenye ombwe kama hilo?.Kuna Watu bado hawanielewi mpaka wawe kama huyo Mzee hapo
Hamuwezi kuwazidi wanawakeWanaume atuteseki et?
Jinga kubwa wewe! Sasa unataka kuishi na mke wa mtu na mumewe yupo?Kwahyo wewe mama yako akija kwako utamtimua na kumrudisha kwa mume wake?
Haha![emoji23][emoji23]...Jinga kubwa wewe! Sasa unataka kuishi na mke wa mtu na mumewe yupo?
Kwa nini kama unampenda sana huyo mke wa mtu usimchukuwe na mume wake?
Umenikumbusha family moja hivi. Mke na mume walikuwa na watoto watatu. Wakike wawili na wakiume mmoja. Watoto walisoma na wakike wakaolewa. Siku ambayo wa kiume kamaliza Chuo na kupata kazi Mama alimwambia mume wake "Kazi iliyokuwa inanifanya niendelee kukaa hapa, nimeimaliza. Naondoka" Yule bwana hakuamini na watu waliokuwa wanaifahamu ile familia hawakuamini. Wanawake wanapitia mambo magumu sana kwenye ndoa.Yani laiti kama tungeamua kuorodhesha humu mitandaoni wanayopitia wanawake kwenye ndoa zao, basi hakika tungejaza servers za jf, ni vile tu wanawake wengi sasa hivi wamechagua kukaa kimya na kuwaacha wanaume waongee wanavoweza
Wafanyeje mkuu, maana wengine wapo kwenye ombwe kama hilo?.
1.Kunya mtoto sio jambo dogoMwanaume huyu ana umri wa miaka 68. Ni mstaafu aliyefanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake.
Alijinyima raha za dunia ili aweze kuwalipia karo ya shule (kwenye shule za gharama) na gharama nyingine za maisha kwa watoto wake nje ya nchi.
Sasa watoto wako vizuri huko Uropa na Amerika. Mkewe mwenye miaka 60 amemwacha mzee huyu na kuwafuata watoto wake kwenda kuishi nao.
Sasa mzee yuko peke yake nchini Kenya. Watoto wake wala hawamtafuti. Na sasa inabidi aanze maisha mapya kama kapera.
Anapambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzee. Je, angeishi peke yake hadi lini?
Huu ndiyo ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wapweke na katika hali nyingi, huzuni.
Jitahidi kadri uwezavyo, lakini wanawake wanapenda watoto wao zaidi ya waume zao, haijalishi mwanaume ni mtanashati kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mzee, ndivyo mvuto unavyopungua kwa mkewe.
Niambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa?
Wanajinyima sana lakini wanapata kutambuliwa kidogo sana kwa kazi ngumu. Mwanamke huvuna faida zote kwani watoto mara nyingi huwa karibu na kumpenda zaidi anapozeeka...
Tuendelee kuimba "Nani kama Mama"...View attachment 2683800
Kama wadogo utatuma pesa waleleweKama watoto ni wakubwa
Njia nzuri kuwa na wanawake wawili na kujiwekea vitega uchumi ukiwa na pesa za kubadilishia mboga hauwezi kuwa mpweke na mabinti walivyojaa mjiniMwanaume huyu ana umri wa miaka 68. Ni mstaafu aliyefanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake.