green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Tunavyowamwagia mbeguKupiga push-up ndio faida yao kubwa..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunavyowamwagia mbeguKupiga push-up ndio faida yao kubwa..
Unatakiwa uwachukue wote ukae naoKwahyo wewe mama yako akija kwako utamtimua na kumrudisha kwa mume wake?
sasa ukikataa ndoa utapata wapi mbususu ya kuchakata kwa raha upate watoto?KATAA NDOA
Yani laiti kama tungeamua kuorodhesha humu mitandaoni wanayopitia wanawake kwenye ndoa zao, basi hakika tungejaza servers za jf, ni vile tu wanawake wengi sasa hivi wamechagua kukaa kimya na kuwaacha wanaume waongee wanavoweza
dah!Mwanaume huyu ana umri wa miaka 68. Ni mstaafu aliyefanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake.
Alijinyima raha za dunia ili aweze kuwalipia karo ya shule (kwenye shule za gharama) na gharama nyingine za maisha kwa watoto wake nje ya nchi.
Sasa watoto wako vizuri huko Uropa na Amerika. Mkewe mwenye miaka 60 amemwacha mzee huyu na kuwafuata watoto wake kwenda kuishi nao.
Sasa mzee yuko peke yake nchini Kenya. Watoto wake wala hawamtafuti. Na sasa inabidi aanze maisha mapya kama kapera.
Anapambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzee. Je, angeishi peke yake hadi lini?
Huu ndiyo ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wapweke na katika hali nyingi, huzuni.
Jitahidi kadri uwezavyo, lakini wanawake wanapenda watoto wao zaidi ya waume zao, haijalishi mwanaume ni mtanashati kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mzee, ndivyo mvuto unavyopungua kwa mkewe.
Niambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa?
Wanajinyima sana lakini wanapata kutambuliwa kidogo sana kwa kazi ngumu. Mwanamke huvuna faida zote kwani watoto mara nyingi huwa karibu na kumpenda zaidi anapozeeka...
Tuendelee kuimba "Nani kama Mama"...View attachment 2683800
ndio ukae ukijua yule asiyezalisha zaidi na kukubali kufanya kazi zako za nyumbani ndioanafaidika maana hawezi kukubali kama anaona hio faida haipo na ndio husikia filisika ujue tabia za mkeo..hata mwanaume anayekubali kuoana na mwanamke mwenye ukwasi yule mwanaume ndie anayefaidika na ndoa..(kazi za nyumbani unaweza kuajiri mtu...shangazi yangu alikuwa ameajiri mmalawi mwanamume anapika anafua na usafi)Mkuu kwani na wanaume wanapooa ili wafanyiwe kazi za nyumbani hiyo siyo afueni
Wakati mgawanyo wa majukumu unafanyika enzi za mababu na mabibi zetu ni kina nani waliogawa hayo majukumu, je wanawake walikuwa na sauti yoyote kiasi cha kuweza kupinga chochote wanachoambiwa na wanaume au wao walitakiwa kukubali tu kila kitu, na kama hizo kazi za nyumbani ni rahisi kama mnavyosema mbona wanaume hamzipendindio ukae ukijua yule asiyezalisha zaidi na kukubali kufanya kazi zako za nyumbani ndioanafaidika maana hawezi kukubali kama anaona hio faida haipo na ndio husikia filisika ujue tabia za mkeo..hata mwanaume anayekubali kuoana na mwanamke mwenye ukwasi yule mwanaume ndie anayefaidika na ndoa..(kazi za nyumbani unaweza kuajiri mtu...shangazi yangu alikuwa ameajiri mmalawi mwanamume anapika anafua na usafi)
Hakuna zaidi ya kupata pa kukojolea, stress zinapanda pale mwanaume anapoambiwa usikojoe hapa huku akiwa na upwiru wa miaka na miaka ni zaidi ya stress za ukapera na kupika ugali na kuishi na upwekeNiambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa?
Tukiwaambia tuoe wa4 mnaanza kukashifu endeleeni mtakua wapweke tuMwanaume huyu ana umri wa miaka 68. Ni mstaafu aliyefanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake.
Alijinyima raha za dunia ili aweze kuwalipia karo ya shule (kwenye shule za gharama) na gharama nyingine za maisha kwa watoto wake nje ya nchi.
Sasa watoto wako vizuri huko Uropa na Amerika. Mkewe mwenye miaka 60 amemwacha mzee huyu na kuwafuata watoto wake kwenda kuishi nao.
Sasa mzee yuko peke yake nchini Kenya. Watoto wake wala hawamtafuti. Na sasa inabidi aanze maisha mapya kama kapera.
Anapambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzee. Je, angeishi peke yake hadi lini?
Huu ndiyo ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wapweke na katika hali nyingi, huzuni.
Jitahidi kadri uwezavyo, lakini wanawake wanapenda watoto wao zaidi ya waume zao, haijalishi mwanaume ni mtanashati kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mzee, ndivyo mvuto unavyopungua kwa mkewe.
Niambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa?
Wanajinyima sana lakini wanapata kutambuliwa kidogo sana kwa kazi ngumu. Mwanamke huvuna faida zote kwani watoto mara nyingi huwa karibu na kumpenda zaidi anapozeeka...
Tuendelee kuimba "Nani kama Mama"...View attachment 2683800
Sio kwamba hatujui umuhimu wa ndoa, wengine tunaogopa uzito wa majukumu yake. Kuvunja ahadi ulizoweka kwa mke wengine tunaona itatuuma sana. Hatutaki kujilaumu. Ndio maana tunasema ndoa sio ya kila mtu.....basi waolewe wao
Ndio unatakiwa kufanya hivyo. Haiwezekani Baba yupo na mama akae kwangu zaidi ya miezi sita tena humwita wala nini? Mwambie akakae na mmewe kwani baba anamhitaji. Watoto nao wana makosa sana.Kwahyo wewe mama yako akija kwako utamtimua na kumrudisha kwa mume wake?