Nani anafaidika na ndoa?

Nani anafaidika na ndoa?

Yani laiti kama tungeamua kuorodhesha humu mitandaoni wanayopitia wanawake kwenye ndoa zao, basi hakika tungejaza servers za jf, ni vile tu wanawake wengi sasa hivi wamechagua kukaa kimya na kuwaacha wanaume waongee wanavoweza

Tangia lini Mwanamke akakaa kimya [emoji276]
 
Mbona ugali mwingi sana?anakula na nani kama yupo alone?
 
Mwanaume huyu ana umri wa miaka 68. Ni mstaafu aliyefanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake.

Alijinyima raha za dunia ili aweze kuwalipia karo ya shule (kwenye shule za gharama) na gharama nyingine za maisha kwa watoto wake nje ya nchi.

Sasa watoto wako vizuri huko Uropa na Amerika. Mkewe mwenye miaka 60 amemwacha mzee huyu na kuwafuata watoto wake kwenda kuishi nao.

Sasa mzee yuko peke yake nchini Kenya. Watoto wake wala hawamtafuti. Na sasa inabidi aanze maisha mapya kama kapera.

Anapambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzee. Je, angeishi peke yake hadi lini?

Huu ndiyo ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wapweke na katika hali nyingi, huzuni.

Jitahidi kadri uwezavyo, lakini wanawake wanapenda watoto wao zaidi ya waume zao, haijalishi mwanaume ni mtanashati kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mzee, ndivyo mvuto unavyopungua kwa mkewe.

Niambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa?

Wanajinyima sana lakini wanapata kutambuliwa kidogo sana kwa kazi ngumu. Mwanamke huvuna faida zote kwani watoto mara nyingi huwa karibu na kumpenda zaidi anapozeeka...

Tuendelee kuimba "Nani kama Mama"...View attachment 2683800
dah!
 
Mkuu kwani na wanaume wanapooa ili wafanyiwe kazi za nyumbani hiyo siyo afueni
ndio ukae ukijua yule asiyezalisha zaidi na kukubali kufanya kazi zako za nyumbani ndioanafaidika maana hawezi kukubali kama anaona hio faida haipo na ndio husikia filisika ujue tabia za mkeo..hata mwanaume anayekubali kuoana na mwanamke mwenye ukwasi yule mwanaume ndie anayefaidika na ndoa..(kazi za nyumbani unaweza kuajiri mtu...shangazi yangu alikuwa ameajiri mmalawi mwanamume anapika anafua na usafi)
 
Wakati mgawanyo wa majukumu unafanyika enzi za mababu na mabibi zetu ni kina nani waliogawa hayo majukumu, je wanawake walikuwa na sauti yoyote kiasi cha kuweza kupinga chochote wanachoambiwa na wanaume au wao walitakiwa kukubali tu kila kitu, na kama hizo kazi za nyumbani ni rahisi kama mnavyosema mbona wanaume hamzipendi
 
Niambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa?
Hakuna zaidi ya kupata pa kukojolea, stress zinapanda pale mwanaume anapoambiwa usikojoe hapa huku akiwa na upwiru wa miaka na miaka ni zaidi ya stress za ukapera na kupika ugali na kuishi na upweke
 
Mwanaume huyu ana umri wa miaka 68. Ni mstaafu aliyefanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake.

Alijinyima raha za dunia ili aweze kuwalipia karo ya shule (kwenye shule za gharama) na gharama nyingine za maisha kwa watoto wake nje ya nchi.

Sasa watoto wako vizuri huko Uropa na Amerika. Mkewe mwenye miaka 60 amemwacha mzee huyu na kuwafuata watoto wake kwenda kuishi nao.

Sasa mzee yuko peke yake nchini Kenya. Watoto wake wala hawamtafuti. Na sasa inabidi aanze maisha mapya kama kapera.

Anapambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzee. Je, angeishi peke yake hadi lini?

Huu ndiyo ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wapweke na katika hali nyingi, huzuni.

Jitahidi kadri uwezavyo, lakini wanawake wanapenda watoto wao zaidi ya waume zao, haijalishi mwanaume ni mtanashati kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mzee, ndivyo mvuto unavyopungua kwa mkewe.

Niambie basi, wanaume wanafaidika nini na ndoa?

Wanajinyima sana lakini wanapata kutambuliwa kidogo sana kwa kazi ngumu. Mwanamke huvuna faida zote kwani watoto mara nyingi huwa karibu na kumpenda zaidi anapozeeka...

Tuendelee kuimba "Nani kama Mama"...View attachment 2683800
Tukiwaambia tuoe wa4 mnaanza kukashifu endeleeni mtakua wapweke tu

Mke mmoja kma Mama Mzazi bhna
 
basi waolewe wao
Sio kwamba hatujui umuhimu wa ndoa, wengine tunaogopa uzito wa majukumu yake. Kuvunja ahadi ulizoweka kwa mke wengine tunaona itatuuma sana. Hatutaki kujilaumu. Ndio maana tunasema ndoa sio ya kila mtu.....
 
Kulea watoto ni jukumu la wazazi, ila swala la kukusaidia ni hiari yao! We lea watoto wako, wape elimu nzuri, ila usitegemee kuja kusaidiwa, Panga maisha yako vizur.
 
Bora huyo mzee anavojishughulisha na vijikazi vya nyumbani vya hapa na pale walau mwili unafanya mazoezi kuliko na uzee wake kubweteka tu ni hatari kwanza afya!
 
FB_IMG_1689128386808.jpg

WHO BENEFITS FROM MARRIAGE?

He's 68 years old.

Retired pensioner.

Worked all his life to raise his kids.

Deprived himself of life's pleasures to pay expensive school fees and living expenses for his kids abroad.

They are now well-off in Europe and America.

His wife, 60, has relocated to live with her kids.

He's alone back in Kenya.

His kids barely call him.

He now has to start life all over as a bachelor.

He struggles with high blood pressure and other old age ailments.

How long more would he survive alone?

This is the reality for most working class monogamous men. Their old age is usually lonely and in many cases, sad.

Try as you may, women love their kids more than their husbands, no matter how good the man is. The older he gets, the less use they have for him.

Tell me then, what do men benefit from marriage?

They sacrifice so much but get little recognition for the hard work. The woman reaps all the benefits as the kids are often closer and more affectionate towards her when she becomes old.
N.B,-Latterly wanaume tunakuja kuwa kama simba Mzee asiye na msaada wowote!
 
Kwahyo wewe mama yako akija kwako utamtimua na kumrudisha kwa mume wake?
Ndio unatakiwa kufanya hivyo. Haiwezekani Baba yupo na mama akae kwangu zaidi ya miezi sita tena humwita wala nini? Mwambie akakae na mmewe kwani baba anamhitaji. Watoto nao wana makosa sana.
 
Back
Top Bottom