Nani anahakikisha Ubora wa Hand Sanitizer?

Nani anahakikisha Ubora wa Hand Sanitizer?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Tofauti na wenzetu sisi kila mtu mtaani anazalisha Hand Sanitizer eg. Nilienda duka la nguo nikakuta hand sanitizer zinauzwa kuangalia brand ni ya mwenye Duka (Sachko).

Nani hudhibiti Ubora wa hizi bidhaa za kujikinga na Corona?
 
Halafu ...mbona sanitizer zote zimeandikwa zinaua Backteria ili hali sisi tunapambana na Virus ...huwa sielewagi mwenz3nu!'
 
Halafu ...mbona sanitizer zote zimeandikwa zinaua Backteria ili hali sisi tunapambana na Virus ...huwa sielewagi mwenz3nu!'
Sanitizers zina kiasi cha alcohol ndan yake.
Ambayo kwa kiasi kikubwa hupunguza/ondoa wadudu weeengi ikiwepo virus.

Ni kama vile maji na sabani. Inapunguza/ondoa aina nying ya hao viumbe, bacteria, virus etc na uchafu mwingine.
 
Tuendelee kuneemesha hao jamaa
 
Mojawapo ya.majanga aliyotuachia Kayafa Jiwe kama swala la Machingas
 
Watu wanajitengenezea tu Hadi Kvant wanasema nayo ni sanitizer. Labda mpaka ziwakaye mikono watu ndio wataamka. Mji una mambo huu.
 
Back
Top Bottom