Nani anahusika na usajili wa TP Mazembe

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Nimeshangaa timu bora ya Africa inamsajili Singano hlafu wanawauza wachezaji wao tegemezi wawili kwenda Ubelgiji ambao ni Meshak Elia na Zola

Singano ana miaka 27 ataipa nini TP Mazembe? Angekuwa na miaka 22 tungesema angeweza kudevelop kisoka ila huyu jua limeshazama

Ninavyoona Tp Mazembe wana wakala mtanzania anayewaingiza chaka na anapiga ten percent.

Wameshindwa kumuona hata Rashid Juma ndio wakachukue ile mashoto inakimbia bila plan uwanjani?

Ila boss wa Tp Mazembe atakuwa ameyumba sana kiuchumi

Mazembe inaanza kupotea taaratibu baada ya miaka kumi na tano ya kuwa juu
 
mazembe amepotea.. ila msimu uliopita katolewa nusu fainali ya caf champions league na bingwa mtetezi esperence kwa aggregate 1-0... tena kwa mbinde.

utashangaa hao kina singano watavyokuwa bora...

ulimwengu alisajiliwa kimya kimya.. ila akamudu kucheza mazembe vizuri
 
Rashidi juma Ana nini tukiondoa mbio
 
Wabongo! Wabongo! There back at your keyboard buttons criticizing the big power Sport club of Tp Mazembe?

Unadhani una upeo mkubwa Sana kuliko jopo la wataalam wa usajili TP Mazembe? Wanajua wanachokifanya kuliko wewe mtanganyika wa dumila,

Samatta was never such a deal, but Mazembe made him to be who he is now! Football is a game of chance and have turned into business and investment.

Nyamaza usiyoyajua! Waachie wenyewe! Khaaaaa!
 
Ulimwengu amepita kwenye njia sahihi ya professional player hajavuka hatua ndio maana makocha wengi wa kimataifa hawamuachi
 
Umri kwenye mpira ni kila kitu
Huyo singano hadi aje afiti kwenye mfumo itakua umri umeenda sana

Mpira ni kitu kinachoonekana mkuu hata club kubwa huwa zinapuyanga kusajili
 
Kwani Aliyemuita Singano ,Mess ninani? Simba hao hao. Leo hawezi tena?acha aende pesa Za TP zinakuuma nini Mkuu.
Sijaumia ila mpira unaonekana hadharani
 
Daah nimesoma mpaka nashangaa umeandika nini? Hivi unaweza kataa ofa ya Anderlecht ya kumnunua meshack Elia? Kuuza wachezaji ni lazima wauzwe ili timu ipate faida.
Swala umri unalishangaa kwa tp mazembe !!! Je unajua umri wa wachezaji wanaosajiliwa hapa kwa timu za kariakoo?
Ko mlitaka singano asajiliwe wapi? Ndanda au?
 
Kwa Africa tp mazembe ni zile club pik ya juu
Zinaposajili mchezaji wa kigeni lazima awe na uwezo mkubwa kiliko wachezaji wazawa sasa unaweza kuona singano ana nini? Kama kweli ni mfuatiliaji wa mpira
 
Kwa Africa tp mazembe ni zile club pik ya juu
Zinaposajili mchezaji wa kigeni lazima awe na uwezo mkubwa kiliko wachezaji wazawa sasa unaweza kuona singano ana nini? Kama kweli ni mfuatiliaji wa mpira
Tp mazembe inasajili wachezaji wengi wa type hiyo na inawapeleka katika development squad kuwaimarisha sasa nashangaa mnavoponda na siku zote uelewe kua usajili ni gambling waweza sajili mchezaji mzuri sana na akaja akachemka.
Kikubwa wanachoangalia ni kipaji cha mchezaji.
 
Kwa Africa tp mazembe ni zile club pik ya juu
Zinaposajili mchezaji wa kigeni lazima awe na uwezo mkubwa kiliko wachezaji wazawa sasa unaweza kuona singano ana nini? Kama kweli ni mfuatiliaji wa mpira
Na hiyo sheria ya mchezaji wa nje awe na kiwango kuliko wazawa ni sheria ya wapi? Tp mazembe? Au Caf?
 
Kiubwa ni falsafa ya timu anayo kwenda...dogo benchi amesugua sana kama anako kwenda atapata mazoezi ya kutosha na mechi nyingi dogo ata fanya vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…