yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
Nimeshangaa timu bora ya Africa inamsajili Singano hlafu wanawauza wachezaji wao tegemezi wawili kwenda Ubelgiji ambao ni Meshak Elia na Zola
Singano ana miaka 27 ataipa nini TP Mazembe? Angekuwa na miaka 22 tungesema angeweza kudevelop kisoka ila huyu jua limeshazama
Ninavyoona Tp Mazembe wana wakala mtanzania anayewaingiza chaka na anapiga ten percent.
Wameshindwa kumuona hata Rashid Juma ndio wakachukue ile mashoto inakimbia bila plan uwanjani?
Ila boss wa Tp Mazembe atakuwa ameyumba sana kiuchumi
Mazembe inaanza kupotea taaratibu baada ya miaka kumi na tano ya kuwa juu