Nani anahusika na usajili wa TP Mazembe

Manara na genge lake walitamani kumuona messi anacheza GWAMBINA
 
Kwa Africa tp mazembe ni zile club pik ya juu
Zinaposajili mchezaji wa kigeni lazima awe na uwezo mkubwa kiliko wachezaji wazawa sasa unaweza kuona singano ana nini? Kama kweli ni mfuatiliaji wa mpira
Singano ni pure talented kwani unateseka?
 
Wavuta bangi wa kariakoo nasikitika kuwaambia Deo kanda ni mtumba singano ni Lulu.
 
TP wameonyesha kuwa walikuwa na nia kabisa na AJIBU... kuna kitu wachezaji wa kitanzania wanacho ila hawajielewi tu ndio maana hawa TP wametia timu huku.
Samatta ametangaza nchi vzr huko Congo.. Ulimwengu pia.
Chuki, fitina na roho mbaya kwenye kipaji cha mtu ni kupoteza muda tu... Singano + Ambokile guseni gozi.
 
👍👍 Umesomeka mkuu 👊👊
 
Bi hindu toka umejua kutumia mitandao unafujo sana wewe, embu tulia ulee wajukuu na vitukuu vyako,
 
wewe kigezo chako ni umri tu??
mazembe wameona singano anafaa labda uchezaji wake unaendana na mfumo wa kocha, wewe umekazana umri, umri!
haya deo kanda wa simba ana miaka mingapi?
kwanini simba wasajili kina kanda ikiwa wana vijana kama huyo rashid unaemtaja?
kagere nae vipi?
naona ulitaka singano aende ndanda! ndo ungeridhika!
nimegundua wabongo na sisi ni sababu ya taifa stars kufanya vibaya, ujuaji mwingi bongo kila mtu ni kocha! anajua mpira anaona mpaka ya mbeleni kuwa huyu wamesajili garasa.
 
Sorry mkuu, ivi Deo Kanda, Meddie Kagere wana umri gani au simba hawana mpango wa kuExcell
 
Rashid Juma ni mchezaji wa Ndondo cup acha kumpaisha.
 
Samatta was smarter before joining to mazembe, of course played some roles to make him great
 
Tz tumeshazoea kuwazeesha wachezaji wetu,yaani asipokuwa Yanga au Simba tunaona hana kiwango kizuri,akili hizi ndizo zinazoshusha kiwango chetu
 
Kwa Africa tp mazembe ni zile club pik ya juu
Zinaposajili mchezaji wa kigeni lazima awe na uwezo mkubwa kiliko wachezaji wazawa sasa unaweza kuona singano ana nini? Kama kweli ni mfuatiliaji wa mpira
Kweli sisi waTz hatujui mpira,eti mfuatiliaji wa mpira? Azam fc singano kacheza mechi ngapi kiasi kwamba uliprove ameshuka kiwango? Utakuwa hujui kwamba Singano bado yupo vizuri ila alikuwa anakosa match fitness.
 
Hahahahahahahahah mchezaji wa miaka 27 sio mchezaji wa majaaribio sio mchezaji wa kumuweka sawa kisaikolojia wala utimamu wa mwili ,27 years old ni mchezaji wa kwenda kuisaidia timu sio mchezaji wa majaribio wala Development.
Singano Hana miaka 27 acha uongo Kama Ajibu ana miaka 23 na ndemla 22 singano kafikaje 27?
Kumbuka Hawa wote wametoka batch moja Simba B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…