MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Manara na genge lake walitamani kumuona messi anacheza GWAMBINADaah nimesoma mpaka nashangaa umeandika nini? Hivi unaweza kataa ofa ya Anderlecht ya kumnunua meshack Elia? Kuuza wachezaji ni lazima wauzwe ili timu ipate faida.
Swala umri unalishangaa kwa tp mazembe !!! Je unajua umri wa wachezaji wanaosajiliwa hapa kwa timu za kariakoo?
Ko mlitaka singano asajiliwe wapi? Ndanda au?