Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Habari za majukumu,

Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no?

Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo.

Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.

Alibaba943006451.png
 
1. Market research: Angalia Target market yako unauza wapi, location yako itakupa aina gani ya vifaa ununue
Mfano: Unauza hizo accessories Mbagala halafu unajaza spare za iPhone na pixel hapo hamna la maana

2. Wewe anza kipindi unafanya bishara utazidi kugundua preferences za wateja wako

3. Tafuta supplier atakaekuuzia hizo accessories at the lowest cost as possible ili uweze kuongeza Margin.

4. Usinunue vitu fake/cheap ukawauzia wateja... Business is about Trust, ukiharibu hapo ushakosa long term customers
 
1. Market research: angalia Target market yako unauza wapi, location yako itakupa aina gani ya vifaa ununue
Mfano: unauza hizo accessories mbagala halafu unajaza spare za iPhone na pixel hapo hamna la maana

2. Wewe anza kipindi unafanya bishara utazid kugundua preferences za wateja wako

Unafanya hii bishara mkuu
 
Asante kwa Neno hili
 
Naona vitu bingo vinatoka China! Maana yake hata huko kuna fake japo wanatengeneza wao
 
Hizi biashara za uchuuzi zinataka moyo sana, usiingie na akili ya kupiga hela fasta., Kuna muda mzigo unakaa kwenye shelves na hela huna mpka unapata hasira.
Kwa hali hii biashara nyingi zinaishi maisha hayo
 
Ngoja nijiweke hapa,

Mimi nmeanza kuifanya, npo uswahilini ,

Charger nimeleta za uwezo tofauti tofauti so mteja nampaga kabisa kabla ya kumuuzia, betr pia nmeeka Og na fake nampaga pia ili akichukia feki hata ikizingua harudi kulalamika bali anarudi kununua lingine, makava nmedili na ya infinix na tecno sms au iPhone nachukua mzigo kwa Oda, protecter za infinix na tecno ndo nyingi kutokana na location yangu,

Kwa kifupi sana, kuna mdau hapo juu kamaliza kila kitu kwa kusema mzigo utachukua kutokana na location ulokuwepo.
 
Ngoja nijiweke hapa,

Mimi nmeanza kuifanya, npo uswahilini ,

Charger nimeleta za uwezo tofauti tofauti so mteja nampaga kabisa kabla ya kumuuzia,betr pia nmeeka Og na fake nampaga pia ili akichukia feki ata ikizingua harudi kulalamika bali anarudi kununua lingine, makava nmedili na ya infinix na tecno sms au iPhone nachukua mzigo kwa Oda ,protecter za infinix na tecno ndo nyingi kutokana na location yangu,

Kwa kifupi sana,kuna mdau hapo juu kamaliza kila kitu kwa kuse ma mzigo utachukua kutokana na location ulokuwepo.
Hongera Sana mkuu kila la kheri biashara vipi lakini
 
1. Market research: angalia Target market yako unauza wapi, location yako itakupa aina gani ya vifaa ununue
Mfano: unauza hizo accessories mbagala halafu unajaza spare za iPhone na pixel hapo hamna la maana

2. Wewe anza kipindi unafanya bishara utazid kugundua preferences za wateja wako

3. Tafuta supplier atakaekuuzia hizo accessories at the lowest cost as possible ili uweze kuongeza Margin.

4. Usinunue vitu fake/cheap ukawauzia wateja... Business is about Trust, ukiharibu hapo ushakosa long term customers
Sawa kabsa, najifunza zaidi hapa
 
Umewahi kuuza hata karanga?
 
Naijua vizuri biashara hii ila bila alfu tatu sisemi chochote [emoji276]mkono mtupu haulambwi
 
Ngoja nijiweke hapa,

Mimi nmeanza kuifanya, npo uswahilini ,

Charger nimeleta za uwezo tofauti tofauti so mteja nampaga kabisa kabla ya kumuuzia,betr pia nmeeka Og na fake nampaga pia ili akichukia feki ata ikizingua harudi kulalamika bali anarudi kununua lingine, makava nmedili na ya infinix na tecno sms au iPhone nachukua mzigo kwa Oda ,protecter za infinix na tecno ndo nyingi kutokana na location yangu,

Kwa kifupi sana,kuna mdau hapo juu kamaliza kila kitu kwa kuse ma mzigo utachukua kutokana na location ulokuwepo.

Mtaji wake una range vipi kiongozi
 
Back
Top Bottom