Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

Habari za majukumu,

Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no?

Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo.

Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.

View attachment 2451270

biashara ni nzuri ila kwa sasa lina watu wengi. dili na spare za simu ndio utatoboa
 
Boss, kwa uzoefu wako angalau kaduka kaonekane yanipasa kuwa na mtaji kiasi gani?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
unataka kuuza vifaa mchanganyiko, cover za simu ndogo na kubwa, earphone, earbuds, charger, usb, radio za kuchaji, simu ndogo. inategemea na eneo ulipo. ukiwa na laki tano duka linajaa ndi
 
Mkuu laki5 seriously
 
unataka kuuza vifaa mchanganyiko, cover za simu ndogo na kubwa, earphone, earbuds, charger, usb, radio za kuchaji, simu ndogo. inategemea na eneo ulipo. ukiwa na laki tano duka linajaa ndi

Laki 5 usd ama shilling?watu huwa mnarahisisha sana vitu
 
Back
Top Bottom