Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

unataka kuuza vifaa mchanganyiko, cover za simu ndogo na kubwa, earphone, earbuds, charger, usb, radio za kuchaji, simu ndogo. inategemea na eneo ulipo. ukiwa na laki tano duka linajaa ndi
Laki 5 duka linajaa!??[emoji2][emoji2][emoji2]

Juzi nlienda kununua memory card na flash za laki moja ata baasha ya kaki haikujaa!
 
Mfano mdogo tu ukichukua flash za 32Gb pc 10 laki 3 imekata,sasa sijui hilo duka utajaza nini kwa laki 5[emoji276]biashara ya vifaa vya simu hata milioni 5 unaanza kwa kuungaunga sana
 
daa huu uongo wa kiwango cha juu flash gb 32 jumla ni 10000 tu kushuka chini ununue 10 ije laki tatu

hlf biashara inategemeana na ukubwa wa duka na mtaji mnakua kama watoto kuelewa kwamba laki tano haitosh kununua vifaa mfano mtu anakaduka kake tule tivibanda twa kuchomelea uswhilini ka futi 2 kwa 2 unaweka zako protector za 30000, usb wire za 20000, charger za 50000, memorycard za 20000, flash hata za 60000, na vingne
 
Sio uongo sema labda hana taarifa sahihi, kwa alichokisema hapo Gharama ni 70K laki tatu haifiki nakubalina na wewe
 
Pia Kuna Flash Special, Size ni 1 Terabyte (1000GB) bei ni Kuanzia 45,000/= Warranty ipo, Kwa anyehitaji anaweza ni PM
 
daa huu uongo wa kiwango cha juu flash gb 32 jumla ni 10000 tu kushuka chini ununue 10 ije laki tatu

hlf biashara inategemeana na ukubwa wa duka na mtaji mnakua kama watoto kuelewa kwamba laki tano haitosh kununua vifaa mfano mtu anakaduka kake tule tivibanda twa kuchomelea uswhilini ka futi 2 kwa 2 unaweka zako protector za 30000, usb wire za 20000, charger za 50000, memorycard za 20000, flash hata za 60000, na vingne
Naomba location za machimbo boss
 
Mfano mdogo tu ukichukua flash za 32Gb pc 10 laki 3 imekata,sasa sijui hilo duka utajaza nini kwa laki 5[emoji276]biashara ya vifaa vya simu hata milioni 5 unaanza kwa kuungaunga sana
Kwa nini flash usiagize kwa aliexpress kutikea china za laki 200,000 unapata zaidi ya pc 40 flash GB 16 Na 32

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mdogo tu ukichukua flash za 32Gb pc 10 laki 3 imekata,sasa sijui hilo duka utajaza nini kwa laki 5[emoji276]biashara ya vifaa vya simu hata milioni 5 unaanza kwa kuungaunga sana
Unaonekana huna uzoefu na biashara, hii biashara huwezi anza na pc 10 za flshi 32 gb, kwanza uswahilini haziuziki,

Unajua bei ya makava ya jumla?

Ukiwa na kichochoro laki 5 unakijaza kama ni mjanja lakini,
 
Naona comments namba #2 amemaliza kila kitu angalia wateja wako wachunguze wanataka nini ndio uwape
 
Nenda mtaa wa Aggrey kkoo,tafuta wakongwe pale kaa nao sana ikibidi shinda dukani kwake sana! Fanya nae urafiki Then anza biashara kwa uliyojifunza na ushauri kiasi! Pata tu connections na links!
 
Back
Top Bottom