Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

biashara ni nzuri ila kwa sasa lina watu wengi. dili na spare za simu ndio utatoboa
 
Boss, kwa uzoefu wako angalau kaduka kaonekane yanipasa kuwa na mtaji kiasi gani?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
unataka kuuza vifaa mchanganyiko, cover za simu ndogo na kubwa, earphone, earbuds, charger, usb, radio za kuchaji, simu ndogo. inategemea na eneo ulipo. ukiwa na laki tano duka linajaa ndi
 
Mkuu laki5 seriously
 
unataka kuuza vifaa mchanganyiko, cover za simu ndogo na kubwa, earphone, earbuds, charger, usb, radio za kuchaji, simu ndogo. inategemea na eneo ulipo. ukiwa na laki tano duka linajaa ndi

Laki 5 usd ama shilling?watu huwa mnarahisisha sana vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…