Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Nani anaikumbuka hii movie, nadhani ni ya miaka ya 80s au 70s, plot ni kwamba, wanajeshi wa kizungu wana kwenda mkomboa, jamaa mmoja, huyo jamaa ni Mwafrika nadhani ni alikua politician, walipo mkomboa waka mkimbiza kwenye ndege ya kijeshi na wakati wana jaribu kuruka, mmoja wa hao macomando akachelewa kupanda ndege na wanajeshi wakawa wanawafuata kwenye runway huku wakipiga risasi, ikabidi huyo commando aombe wenzake wampige risasi wamuue kuliko kukamatwa, wakampiga risasi na akafa, lakini pia huyo walio kwenda mkomboa naye ali kufa akiwa kenye ndege kwa jeraha la riasi alilo kuwa nalo.
Nani anajua jina la hiyo movie, ilikua ngumu sana kuanalia jinsi ya huyo actor mweusi alivyo kuwa akionekana kiafya yake.
Nani anajua jina la hiyo movie, ilikua ngumu sana kuanalia jinsi ya huyo actor mweusi alivyo kuwa akionekana kiafya yake.