Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Watanzania tulishaaminishwa kuwa mamlaka ya uteuzi ni mamlaka kubwa ambayo ina vyanzo mbalimbali vya kupata habari.
Pia tulishaambiwa kuwa mamlaka ya uteuzi huwa inafanya vetting ili kupata wateule wanokidhi vigezo kwa namna yoyote ile.
Sasa haya ya kuteua makada wa CCM ambao hata vigezo hawana yanatoka wapi?
Kimuundo wa utumishi wa umma Ras ni mtu ambae anatakiwa awe professional maana ndie mshauri mkuu wa sekretariet ya mkoa juu ya masuala yote ya kuendesha serikali. Inakuwaje kada wa CCM ambae ameishia form four ateuliwe?
Ile saga ya Tpdc ndio ilikuwa aibu kubwa sana. Maana aliyeteuliwa kuwa DG wa Tpdc hafai kuwa hata meneja wa hoteli, lakini ilishangaza watu mamlaka kubwa ya uteuzi kumpa kazi nyeti kama ile.
Nani anaidanganya mamlaka ya uteuzi? Au kuna mtu huwa anachomeka majina yake bila idhini ya mamlaka?