Nani anaipotosha mamlaka ya uteuzi kiasi cha kufanya makosa yanayofedhehesha?

Nani anaipotosha mamlaka ya uteuzi kiasi cha kufanya makosa yanayofedhehesha?

Kuna katuni ilikuwa inatembea humu na kule Tweeter ikimuonyesha madame President akidismantle engine! Nadhani Kuna spanner ameikosa ya kumalizia kuifungua engine yote na kutupa kila kifaa kilichopo ndani ya engine nje na kubaki na engine block tu na mwishowe aifanyie overhaul kwa kufungwa vitu vipya!
Ikimpendeza awabadilishe Hadi wapiga deli humo ofisini kwake na ayaige mazuri ya Mkapa kwani kila kitu kilitoka mfuko wake wa Shari na hakushikiwa begi la nyaraka Wala hotuba zake!
Mama fanya teuzi mwenyewe bila kumshirikisha yeyote uondokane na hao wanaopigana kukuangusha!
 
..Jpm angekomaa na uteuzi wa dg wa tpdc na mataga wangeunga mkono.

..kuna teuzi nyingi Jpm alikuwa akifanya madudu lakini wachache walikuwa na ujasiri wa kuhoji.
Unapotoa tuhuma kama hizi weka na evidence
 
Mama amefanikiwa kuziba uvujaji wa taarifa nyeti za serikali/ikulu.

Nafikiria hiyo ndio sababu kunakuwa na makosa ya hapa na pale kwenye teuzi. Hasa kama njia aliuyotumia kuziba uvujaji ni kupunguza urefu wa vetting process au baadhi ya watu.
 
..Doto James kuwa PS MOF

..Bashiru Ally Kakurwa kuwa CS.

..Mama toka Zenj ambaye ni Naibu Waziri wa fedha.
Bro hawa uliotaja hawana hata kanyuzi kakuzugia? Maana ya Form 4 kuwa RAS ni aibu.
 
Bro hawa uliotaja hawana hata kanyuzi kakuzugia? Maana ya Form 4 kuwa RAS ni aibu.

..kwani yule Mzenj Naibu Waziri Fedha ana elimu gani?

..mbona kuna Wazenj kibao wana elimu na experience ya kutosha kuteuliwa ktk nafasi.

..wizara muhimu kama fedha teuzi zake zinatakiwa zifanywe kwa umakini mkubwa.
 
Yule bibie hana kanyuzi ka uchumi?
 
Back
Top Bottom