Kuna katuni ilikuwa inatembea humu na kule Tweeter ikimuonyesha madame President akidismantle engine! Nadhani Kuna spanner ameikosa ya kumalizia kuifungua engine yote na kutupa kila kifaa kilichopo ndani ya engine nje na kubaki na engine block tu na mwishowe aifanyie overhaul kwa kufungwa vitu vipya!
Ikimpendeza awabadilishe Hadi wapiga deli humo ofisini kwake na ayaige mazuri ya Mkapa kwani kila kitu kilitoka mfuko wake wa Shari na hakushikiwa begi la nyaraka Wala hotuba zake!
Mama fanya teuzi mwenyewe bila kumshirikisha yeyote uondokane na hao wanaopigana kukuangusha!