CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
Hayo maganda yakishakauka yanasagwa au vipi na unachanganyaje na karanga?Mkongoraa, unaukausha maganda yake, changanya na karanga, unatumia kwenye uji au maji ya moto. Dushe ikiamka hailali labda uweke barafu
Mi nikajuwa vimihogo vitoto.
Ubombo chaji hiyo...
Ndio maana sisi tuliokulia vijijini mpaka leo halichachiMkongoraa huo, tulikua tunachimba milimani tunaitafuna.
Huu ni mmea unaoota likamba kamba lakini chini mzizi wake ndo huo huenda aridhini tena mbali mno kiasi kwamba ukiambiwa uuchimbe hadi mwisho huwezi kuufikia kwa kule kwetu tunauita "mbodo"