Sidhani maana kwetu tumeyala sana ingekuwa ni kweli binafsi ningekuwa na dushe kama la punda.Arusha tunauita Mkongoraa, sijui maeneo mengine. Wamasai wanaiuza sana, inasadikika kusaidia kusimamisha muda mrefu au kukuza dushe. One or both.
Kwani kwenu hakuna hivi mkuuMi nikajuwa vimihogo vitoto.
Hahah!! Tunajua bhana, Masai wanazunguka nayo sana [emoji23]Hii ni mkongora, huwa naila sana.... Hii inaweza ifanya dushe yako iwe firm amd strong..... Wanaume wa dar hawaijui hii....
Sjakutana nayo hiyo kitu nikiwa mji kasoro bahari.Kwani kwenu hakuna hivi mkuu
Mkongoraa, unaukausha maganda yake, changanya na karanga, unatumia kwenye uji au maji ya moto. Dushe ikiamka hailali labda uweke barafu
Ina maana tu mwanaume twa Dar ni tulegevu?Hii ni mkongora, huwa naila sana.... Hii inaweza ifanya dushe yako iwe firm amd strong..... Wanaume wa dar hawaijui hii....
Kwahiyo mkuu unataka kusema kuwa huu "mzizi" hauna faida kama wanayoitangaza? Hebu tuambie baada ya wewe kuutumia sana umeona tofauti gani.Huu ni mmea unaoota likamba kamba lakini chini mzizi wake ndo huo huenda aridhini tena mbali mno kiasi kwamba ukiambiwa uuchimbe hadi mwisho huwezi kuufikia kwa kule kwetu tunauita "mbodo"
"Nje ya mada" kule kijijini zamani tuliaminishwa ukiula eti dushelele linakuwa kuubwaa tumeula sana
Mashambani yanaota yenyewe kama mmea pori
Nautafuta huu mkongora ntaupata wap?? npo shy