Nani anajua kuingiza pesa kupitia YouTube Automation anisaidie

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama kweli anaingiza pesa, nauliza nani anajua hii kitu anisaidie, nicheki sms / call / WhatsApp +255 0756704145
 
Automation 😂😂 yani wewe uwe umelala pesa inaingia tu ??

siwezi kubisha vitu hivyo vipo lakini mtu inabidi aumize kichwa kwanza na aifanye iwe siri au ale na wachache.

watu wapo kazini wanaishi kwa kuuza tutorials na pdf za kuwaaminisha watu kuna mbinu za kupiga pesa kirahisi, soko ni kubwa sana la watu wanaotaka kutengeneza pesa bila kuvuja jasho.
 
Ngoja nichukue siti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…