The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Nimejaribu kuwaza sana matumizi ya hili tobo kwenye kisu ni nini nikapata machache tu,sasa naomba mnajuze wajuzi wa mambo
Hilo linajulikana,mengine ni yapi? Kama ni kutundikia jikoni kwanini visu vyote vina matundu mbele au katikati na sio kwenye mshikioKutundika jikoni.
Aisee
Unataka nyuma?Hilo linajulikana,mengine ni yapi? Kama ni kutundikia jikoni kwanini visu vyote vina matundu mbele au katikati na sio nyuma?
Nyuma ya wapi tenaUnataka nyuma?
Aisee😂😂😂😂😂😂😂 no stress kwa kweli