Nani anakumbuka chupi za VIP?

Nani anakumbuka chupi za VIP?

92 - 93 Hiyo unatoroka shule unaingia kitaa kusakata soka, unafunga goli na kuvua t sheti kushangilia unashangaa kitu kimepanda kifuani kama singlendi
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana hiyo kitu, ilikatika breki ya saa 4 kwenye chandimu mzee mbio chooni kuivua nikabaki full AC...
 
92 - 93 Hiyo unatoroka shule unaingia kitaa kusakata soka, unafunga goli na kuvua t sheti kushangilia unashangaa kitu kimepanda kifuani kama singlendi
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
Hahahahaaa! mkuu ilikuwa noma sana, mbaya zaidi kitu kinapopanda hukisikii unakuja shtuka kitu kimeshafika kifuani.
 
muhenga mwenzangu jamboooo???....hio kitu iliwah kuniletea soo kwenye disco la harusi mtaani,,nacheza na kidem changu kimenikamatia vzr na blues la madonna mara mzigo unapanda taratibu mara dem akasema hiki ni nn umejifunga tumboni??...mzee wa watu nikasepa kimya kimya kwenda nyuma ya nyumba kwenye vichaka flani nikaitoa then nikarudi kucheza,ss na vile nimeitoa nilikua nadindisha hadi dem akanikimbia
Duh! ungechelewa ungestuka kitu kimeshafika shingoni
 
Hahahahaaa! mkuu ilikuwa noma sana, mbaya zaidi kitu kinapopanda hukisikii unakuja shtuka kitu kimeshafika kifuani.
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka ka sauti... Hahahaaa, umenikumbuka mbali sana daah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Picha bandugu! Tunaisikia tu, picha wahenga tupime mateso mliyopitia 😂😂
 
92 - 93 Hiyo unatoroka shule unaingia kitaa kusakata soka, unafunga goli na kuvua t sheti kushangilia unashangaa kitu kimepanda kifuani kama singlendi
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni vyupi vililivyokuwa vinatight kinoma, ukiivaa kwa muda mrefu kuna uzi uko kwa chini, baba ule uzi ukikatika! utashtukia kama hujavaa kitu unahisi ubaridi.Sasa wakati unatafakari na kujiuliza VIP ilipokwenda ghafla unashtuka kitu kimepanda hadi kifuani ilikuwa hatari sana. Kwa wale wakongwe ambao mliwahi kuzivaa underwear hizo mnasemaje? na sijui zimepotelea wapi.
Zilikuwa zikichakaa zinageuka sidiria... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha mwanangu mmoja ilimkuta kwenye paredi la shule ya msngi, ile mguu pande,mguu sawa, mara kustuka kitu ipo makwapani, tulicheka balaa
 
Sasa inapandaje kifuani ? Imekuwa sketi kwamba haina ile kishikizo cha katikati ya miguu ?
 
Back
Top Bottom