Nani anakumbuka chupi za VIP?

Nani anakumbuka chupi za VIP?

muhenga mwenzangu jamboooo???....hio kitu iliwah kuniletea soo kwenye disco la harusi mtaani,,nacheza na kidem changu kimenikamatia vzr na blues la madonna mara mzigo unapanda taratibu mara dem akasema hiki ni nn umejifunga tumboni??...mzee wa watu nikasepa kimya kimya kwenda nyuma ya nyumba kwenye vichaka flani nikaitoa then nikarudi kucheza,ss na vile nimeitoa nilikua nadindisha hadi dem akanikimbia
Ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana aisee hazikuwa zinakatika, nadhani utengenezaji wake ulikuwa tofauti
Acha ubishi, mimi ilinikatikia nakimbia mchamchaka shule ya msingi ikaja kukwama kifuani. Badae nikatafuta pini nikaifunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa nasoma shule ya msingi Uchaggani Uko naikumbuka niliivaa Kwa muda mrefu Sana bila kufua chawa zilinishurutisha kuvua
 
92 - 93 Hiyo unatoroka shule unaingia kitaa kusakata soka, unafunga goli na kuvua t sheti kushangilia unashangaa kitu kimepanda kifuani kama singlendi
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
hahaha
 
Hahaha aise
 
Ilikuwa na kawaida ya kukatika hapo katikati ya mpaja zilipo korodani...

Sasa kwa kuwa material yake ni mpira mpira hivi, ukitokea hiyo sehemu imekatika, chupi lote linapanda juu kwa spidi kuelekea juu...

Kinachoizuia ni makwapa au lah kama uko na kitambi itaishia tumboni...
Inapandaje juu jamani sijawaelewa
 
Ilikuwa na kawaida ya kukatika hapo katikati ya mpaja zilipo korodani...

Sasa kwa kuwa material yake ni mpira mpira hivi, ukitokea hiyo sehemu imekatika, chupi lote linapanda juu kwa spidi kuelekea juu...

Kinachoizuia ni makwapa au lah kama uko na kitambi itaishia tumboni...

Ahaaa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom