Nani anakumbuka chupi za VIP?

92 - 93 Hiyo unatoroka shule unaingia kitaa kusakata soka, unafunga goli na kuvua t sheti kushangilia unashangaa kitu kimepanda kifuani kama singlendi
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana hiyo kitu, ilikatika breki ya saa 4 kwenye chandimu mzee mbio chooni kuivua nikabaki full AC...
 
Hahahahaaa! mkuu ilikuwa noma sana, mbaya zaidi kitu kinapopanda hukisikii unakuja shtuka kitu kimeshafika kifuani.
 
Duh! ungechelewa ungestuka kitu kimeshafika shingoni
 
Hahahahaaa! mkuu ilikuwa noma sana, mbaya zaidi kitu kinapopanda hukisikii unakuja shtuka kitu kimeshafika kifuani.
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka ka sauti... Hahahaaa, umenikumbuka mbali sana daah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Picha bandugu! Tunaisikia tu, picha wahenga tupime mateso mliyopitia 😂😂
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zilikuwa zikichakaa zinageuka sidiria... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha mwanangu mmoja ilimkuta kwenye paredi la shule ya msngi, ile mguu pande,mguu sawa, mara kustuka kitu ipo makwapani, tulicheka balaa
 
Sasa inapandaje kifuani ? Imekuwa sketi kwamba haina ile kishikizo cha katikati ya miguu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…