Nani anakumbuka chupi za VIP?

Ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana aisee hazikuwa zinakatika, nadhani utengenezaji wake ulikuwa tofauti
Acha ubishi, mimi ilinikatikia nakimbia mchamchaka shule ya msingi ikaja kukwama kifuani. Badae nikatafuta pini nikaifunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa nasoma shule ya msingi Uchaggani Uko naikumbuka niliivaa Kwa muda mrefu Sana bila kufua chawa zilinishurutisha kuvua
 
hahaha
 
Hahaha aise
 
Ilikuwa na kawaida ya kukatika hapo katikati ya mpaja zilipo korodani...

Sasa kwa kuwa material yake ni mpira mpira hivi, ukitokea hiyo sehemu imekatika, chupi lote linapanda juu kwa spidi kuelekea juu...

Kinachoizuia ni makwapa au lah kama uko na kitambi itaishia tumboni...
Inapandaje juu jamani sijawaelewa
 

Ahaaa nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…