Nani anakumbuka David Wakati?

Idu...
Muhimu kwangu ilikuwa kuandika historia ya wazee wangu.

Hili nimelifanya na ukweli umejulikana.

Wasomaji wangu wengi sana wamejifunza mengi ambayo hawakuwa wanayajua kabla.

Kitabu cha Abdul Sykes kinanunuliwa sana na wanunuzi wangu karibu wote huanza hapa jamvini kwa kusikiliza mazungumzo yangu.

Baada ya hapo huenda kununua kitabu.

Naamini wewe ni mmoja wa wanafunzi wangu niliowasomesha historia hii.
 
Hii inaitwa "click bait", maudhui yanaashiria mlengo wako.

Na umesahau kuandika kuwa hicho kipindi kilikuwa kinaisha kwa wimbo mmoja maarufu wa "kila Mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe".....wimbo wa kwaya ya Arusha Mjini.
Hivi Yuko anayekumbuka kuwa David Wakati alipigwa barua Kali kutoka Kwa wasikilizaji au wapenzi wa DDC mlimani park baada ya nyimbo zake kufungiwa kusikika RTD baada ya kwenda Kenya kimakosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…