Jamani mwenye historia kidogo kuhusu uliokua muungano kati ya Madilu na Franco. Ilikuje wakaungana wakati Franco alikua na bendi yake. Na hatma yao ilkua je?
Jamani mwenye historia kidogo kuhusu uliokua muungano kati ya Madilu na Franco. Ilikuje wakaungana wakati Franco alikua na bendi yake. Na hatma yao ilkua je?
Nijuacho kidogo ni kwamba Franco Lwambo Makiadi alikuwa na bendi moja ya watu wachache ila HATARI SANA ila alikuwa anamtumia Madilu kwasababu Madilu alikuwa mkali kwenye Chorus kutokana na sauti yake.
Kama kwenye ule wimbo wa "Mamou" ni shiiidah haswa kwenye gitaa analopiga Franco.