Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Jamani mwenye historia kidogo kuhusu uliokua muungano kati ya Madilu na Franco. Ilikuje wakaungana wakati Franco alikua na bendi yake. Na hatma yao ilkua je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuacho kidogo ni kwamba Franco Lwambo Makiadi alikuwa na bendi moja ya watu wachache ila HATARI SANA ila alikuwa anamtumia Madilu kwasababu Madilu alikuwa mkali kwenye Chorus kutokana na sauti yake.Jamani mwenye historia kidogo kuhusu uliokua muungano kati ya Madilu na Franco. Ilikuje wakaungana wakati Franco alikua na bendi yake. Na hatma yao ilkua je?
Tupe ukweli mkuuSi kweli... 🙂