Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Ingawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)

Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)

Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!

Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?

Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika

Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli nikaoge baharini si kwa mkosi huu
 
huu uzi ni wa wasichana hakika ngj wafunguke aic kumwambia mtu nakupenda kwa msichana ni WITO! ngoja dada 'zenyu 'tukae kando tukitafuna vipopcorn tartiiiiiiiiiiib!
 
Back
Top Bottom