Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Hahahahaha lol! Umenichekesha sana kuhusu foleni. Kidoa hicho ni manjonjo ya huyo jamaa ambaye pamoja na kuwa hayuko perfect as a human being lakini I admire him so much.
Oooh
Mie sijuagi bhanaa naonaga ni kidotii.....

Kweli foleni ni kubwa mnooo mpaka nimekuwa mtazamaji
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom